Month: February 2025

Ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb) Katika Kiwanda Chetu

Tarehe 20 Desemba 2024, tulipata heshima kubwa ya kupokea ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb), katika kiwanda chetu kilichopo Kayenze Ndogo. Ziara hii ilikuwa fursa muhimu ya kuonesha jinsi tunavyoboresha sekta ya uvuvi kupitia teknolojia bunifu. Mheshimiwa Waziri alishuhudia kwa karibu jinsi tunavyotumia taa za umeme wa jua kwa …

Ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb) Katika Kiwanda Chetu Read More »